Title | : | MSHIPI - Kwaya Kuu Mt. Cesilia Arusha, Tanzania - Sms SKIZA 7012622 to 811 |
Duration | : | 06:04 |
Viewed | : | 0 |
Published | : | 18-11-2013 |
Source | : | Youtube |
Get It On:
Spotify:
open.spotify.com/album/4Ng8OtTiPoqmMCScOEKyaM
Deezer:
www.deezer.com/album/254572842
Amazon:
www.amazon.com/Mshipi-Cesilia-Kanisa-Katoliki-Ther…
Ni nani aliye Mungu, Mungu ila Bwana
Ni nani aliye mwamba, mwamba ila Mungu
{Ni Mungu ndiye anifungaye mshipi wa nguvu aha!
Ni Mungu ndiye kimbilio la unyonge wangu aha!
Naye anaifanya kamilifu njia yangu } *2
Ni yeye Bwana aliye nguvu zangu nampenda sana
Ni yeye Jabali langu na boma langu na Mwokozi wangu
Mungu wangu mwamba wangu ninayemkimbilia
Ngao yangu na pembe ya wokovu wangu na ngome yangu
Katika shida zangu nilimwita Bwana ee Bwana
Na kumlalamikia Mungu ee Mungu
Akaisikia sauti yangu hekaluni mwake
Kilio changu kikaingia masikioni mwake
Bwana alinitendea sawasawa na haki yangu
Akanilipa sawasawa na haki yangu
Nitamwita Bwana astahiliye kusifiwa
Hivyo nitaokoka na adui zangu.
SHARE TO YOUR FRIENDS
Scan me