Okebiz Video SearchTitle:Nyimbo Za Maombi zenye Nguvu na Maombi by Innocent Morris
Duration:36:31
Viewed:2,134
Published:06-08-2022
Source:Youtube

Nyimbo Za Maombi zenye Nguvu na Maombi by Innocent Morris Katika kuabudu Mungu kuna nguvu. Kuabudu kuna fanya uwepo wa Mungu uwe halisi kwenye maisha ya mtu. Chukua dakika kadhaa chumbani kwako, sebuleni kwako, kwenye gari yako n.k mwabudu Mungu na hakika utauona mkono wa Bwana. Muabudu Mungu kwa jinsi alivyo, kwa maana Yeye ni Mungu. "Mpeni BWANA utukufu wa jina lake; Leteni sadaka, mje mbele zake; Mwabuduni BWANA kwa uzuri wa utakatifu." 1 Nyakati 16:29 SUV Huu ni wakati wa kumwabudu Bwana katika roho na kweli. "Lakini saa inakuja, nayo sasa ipo, ambayo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli. Kwa maana Baba awatafuta watu kama hao wamwabudu. Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli." Yohana 4:23-24 Kuna watu ambao Mungu anawatafuta. Na watu hao ni wale waabuduo halisi katika roho na kweli. Je, unahitaji Mungu akutafute? Abudu katika roho na kweli Iwe ni kiu yako na shauku yako kumwabudu Mungu katika Roho na Kweli. Ubarikiwe sana. Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: www.instagram.com/holyspiritconnect Facebook Link: www.facebook.com/holyspiritconnect YouTube Link: youtube.com/holyspiritconnect

SHARE TO YOUR FRIENDS


Download Server 1


DOWNLOAD MP4

Download Server 2


DOWNLOAD MP4

Alternative Download :SPONSORED
Loading...
RELATED VIDEOS
MAOMBI: OMBA MUNGU ATANGULIE MBELE YAKO by Innocent Morris MAOMBI: OMBA MUNGU ATANGULIE MBELE YAKO by Inno...
10:38 | 34,183
FLORENCE ANDENYI - NYIMBO ZA KUABUDU (NILIFURAHI). (TEXT SKIZA 5966038 to 811) FLORENCE ANDENYI - NYIMBO ZA KUABUDU (NILIFURAH...
09:14 | 365,590
Madhara ya Ulevi Sermon by Ev Mukabi Madhara ya Ulevi Sermon by Ev Mukabi
50:10 | 1,158
THINGS THAT ATTRACT ANOINTING OF THE HOLY SPIRIT - APOSTLE JOSHUA SELMAN 2022 THINGS THAT ATTRACT ANOINTING OF THE HOLY SPIRI...
33:24 | 10,067
USIKU WA MAOMBI 12/08/2022 by Innocent Morris USIKU WA MAOMBI 12/08/2022 by Innocent Morris
59:36 | 4,277
SEMINA YA NENO LA MUNGU   30/12/2021 by Innocent Morris SEMINA YA NENO LA MUNGU 30/12/2021 by Innocen...
28:32 | 1,931
MAOMBI YA KUACHILIA DAMU YA YESU KATIKA KILA ENEO LA MAISHA YAKO by Innocent Morris MAOMBI YA KUACHILIA DAMU YA YESU KATIKA KILA EN...
25:47 | 7,024
THE POWER OF DREAMS THE POWER OF DREAMS
58:09 | 3,340

shopee ads

coinpayu