Title | : | DAKOTA:YANGA INANILIPA PESA NYINGI MNOO!/HAKUNA TIMU ISIYOFUNGWA/JOYCE LOMALISA NI JESHI KUBWAA |
Duration | : | 14:16 |
Viewed | : | 0 |
Published | : | 07-12-2022 |
Source | : | Youtube |
Mtangazaji wa Clouds Media Group na Mshehereshaji wa Kilele cha Siku ya Wananchi Dakota De Lavida amefanya mahojiano na Mpenja Tv kuhusu namna ya ushehereshaji wake katika siku hiyoo.
Dakota pia katika mahojiano haya ametolea ufafanuzi wa majina ya wachezaji wa Yanga Djuma Shabani ‘Soda ya Bemba’ pamoja Joyce Lomalisa ina maana gani kwa Kiswahili!?
Aidha Dakota ameitakia kila la kheri Yanga katika mechi yao na Namungo
SHARE TO YOUR FRIENDS
Scan me