Okebiz Video SearchTitle:Bien x Aaron Rimbui - Mbwe Mbwe (Official Music Video)
Duration:05:10
Viewed:10,676,941
Published:04-11-2021
Source:Youtube

'Bald Men Love Better' EP Out Now: ingroov.es/bald-men-love-better-8qp-x Written by: Bien-Aime Alusa , Aaron H. Rimbui, Benson Mutua Produced By: Bien & Aaron Rimbui Mixed By: Bien, Aaron Rimbui & Victor Mbogo Mastered by: Rob Burrell Recorded By: Victor Mbogo, Trevor Magak Assisted By: Paul Areri, Solomon Wati & Rick Kilonzo Studio: Snowball Industries Vocals and Instruments: Bien-Aime Alusa - Lead Vocalist Aaron H. Rimbui - Keys/Piano Bass - Asaph Uzele Guitars - Benjamin Kabaseke Drums - Christian Kibamba Background vocals: Okello Max Director: Marc DOP: Roadman Production manager: Kefa Odindo Production assistant: Ireri Murugi Camera operator: Hypewily Stylist: Brian babu / Chloe Turner Makeup: Sinita Akello Production Co-ordinator: Chloe Turner Special Thanks: Sauti Sol Entertainment Sol Generation Exodus Entertainment Bien-Aime Alusa & Aaron H. Rimbui MBWE MBWE Lyrics Kunywa Maji Eh Ukimaliza kunywa pombe Peleka maisha pole pole Raha jipe mwenyewe zitoke Kunywa Maji Eh Ukimaliza kunywa pombe Peleka maisha pole pole Raha jipe mwenyewe zitoke Songa ugali Eh Foundation weka ya samaki Ni katikati ya January Kula ukashirishe kamati Twanga ugali Eh Foundation weka ya samaki Ni katikati ya January Haribu jina jenga mwili Ayoyo Aroro Fungua button ya shati imekukaba ko Fungua pia mshipi achilia tumbo Usiogope kukula jasho yako Mamama Aroro Nikona size yako yangu 4 by 4 Kadogo mali safi better than before Pesa sabuni na inaniosha roho Oh oh oh Hapa ni Mbwe Mbwe Hapana leta shida hapa ni Mbwe Mbwe Hapana leta vita hapa ni Mbwe Mbwe Na ukileta ngori ngumi mbwegze Hapa ni Mbwe Mbwe Hapa ni Mbwe Waiter mbili mbili hapa ni Mbwe Mbwe Wawili Wawili hapa ni Mbwe Mbwe Aroro na BienAime ni Mbwe Mbwe Hapa ni Mbwe Mbwe Piga kazi eh Kulima sichagui jembe Mzigo wangu wacha ni bebe Jipange ama tukupange Wacha kitu eh Wacha kitu shetani ahepe Si alijileta mwenyewe Hapa ni shangwe tu na Mbwe Mbwe Hapa ni Mbwe Mbwe Aroro Fungua button ya shati imekukaba ko Fungua pia mshipi achilia tumbo Usiogope kukula jasho yako (Kula jasho Yako) Mamama Aroro (Roro) Nikona size yako yangu 4 by 4 Kadogo mali safi better than before Pesa sabuni na inaniosha roho Oh oh oh Aroro Fungua button ya shati imekukaba ko (fungua button ya shati) Fungua pia mshipi achilia tumbo (Fungua mshipi) Usiogope kukula jasho yako Mamama Aroro (Roro) Nikona size yako yangu 4 by 4 (4 by 4) Kadogo mali safi better than before (Than before) Pesa sabuni na inaniosha roho (Osha roho) Oh oh oh Hapa ni Mbwe Mbwe*6 Huku kwetu Huku masikini na wadosi Kuna ma-barbi na ma-odi Hatupangui rangi ya ngozi Lokesheni yetu Badilisha lokesheni Pesa ni mingi pombe haitoshi Nakuemeanza kunuka moshi Aroro Fungua button ya shati imekukaba ko (Shati) Fungua pia mshipi achilia tumbo (Tumboi) Usiogope kukula jasho yako Mamama Aroro (Roro) Nikona size yako yangu 4 by 4 (4 by 4) Kadogo mali safi better than before Pesa sabuni na inaniosha roho Oh oh oh Mbwe Mbwe *5 #MbweMbewe #BaldMenLoveBetter

SHARE TO YOUR FRIENDS


Download Server 1


DOWNLOAD MP4

Download Server 2


DOWNLOAD MP4

Alternative Download :SPONSORED
Loading...
RELATED VIDEOS
Best of Sauti Sol Video Mix - Dj Shinski [Sura Yako, Suzanna, Short and Sweet, Midnight Train] Best of Sauti Sol Video Mix - Dj Shinski [Sura ...
33:08 | 3,238,466
GFG - NEVA MISS(NO) GFG - NEVA MISS(NO)
02:05 | 58
RHUMBA MIX 2021 STREET VIBE MIXTAPE Vol.22 - DJ FABIAN 254 ( MADILU SYSTEM, FRANCO, FALLY IPUPA ) RHUMBA MIX 2021 STREET VIBE MIXTAPE Vol.22 - DJ...
14:39 | 2,123,774
MR SEED - ONLY ONE ( DAWA YA BARIDI ) ft MASAUTI ( OFFICIAL MUSIC VIDEO). MR SEED - ONLY ONE ( DAWA YA BARIDI ) ft MASAUT...
04:18 | 10,029,850
GILAD - UNAJUA FT WENDY KIMANI (Official Music Video) GILAD - UNAJUA FT WENDY KIMANI (Official Music ...
04:18 | 8,214,840
Camidoh - Sugarcane Remix (Feat. Mayorkun, King Promise & Darkoo) (Official Video) Camidoh - Sugarcane Remix (Feat. Mayorkun, King...
04:15 | 21,075,880
Sauti Sol - Extravaganza ft Bensoul, Nviiri the Storyteller, Crystal Asige and Kaskazini Sauti Sol - Extravaganza ft Bensoul, Nviiri the...
04:14 | 10,000,023
Fally Ipupa - Maria PM (Clip Officiel) Fally Ipupa - Maria PM (Clip Officiel)
06:55 | 35,213,126

shopee ads

coinpayu