Okebiz Video SearchTitle:MIMINA NEEMA_OFFICIAL VIDEO
Duration:05:42
Viewed:0
Published:18-07-2016
Source:Youtube

Mimina Neema. Ni Toleo la 11 la Kwaya ya Mtakatifu Kizito, Parokia ya mwenye heri Anuarite - Makuburi, Dar es salaam. Huu ni wimbo mmoja miongoni mwa nyimbo 12 zinazofanya Album hii. Jipatie nakala yako ya DVD sasa. Piga simu namba +255 715 160 055 au +255 743 731 937 Miongoni mwa nyimbo bora za Kwaya Katoliki, tusikilize na Kutazama kwa afya ya Roho zetu. Tusikilize sauti tamu na Maneno Matamu kutoka kwa wanakwaya hawa. Mungu atubariki sote. Tunapoendelea kuomba Mungu amimine neema kwetu, tuendelee pia kuzitafuta habari zake, habari za mwana wake Yesu Kristo, Habari za Yesu. #kwayakatoliki

SHARE TO YOUR FRIENDS


Download Server 1


DOWNLOAD MP4

Download Server 2


DOWNLOAD MP4

Alternative Download :SPONSORED
Loading...
RELATED VIDEOS
Mt. Kizito Makuburi - Wewe ni Mungu (Official Music Video) Mt. Kizito Makuburi - Wewe ni Mungu (Official M...
09:29 | 5,594,101
BWANA UNIBADILI  Kwaya ya Mt.Maria Goreth Chuo kikuu- Ushirika - Moshi BWANA UNIBADILI Kwaya ya Mt.Maria Goreth Chuo ...
05:18 | 13,801,839
BEST OF CATHOLIC UNINYUNYUZIE MAJI MIX BEST OF CATHOLIC UNINYUNYUZIE MAJI MIX
23:23 | 93,810
TUNAPASWA KUSHUKURU TUNAPASWA KUSHUKURU
05:50 | 2,343,944
NIMEONJA PENDO LAKO: KAPOTIVE Star Singers- Bukoba NIMEONJA PENDO LAKO: KAPOTIVE Star Singers- Bukoba
06:05 | 4,323,961
MKONO WA BWANA by Zabron Singers (SMS SKIZA 8561961 TO 811) MKONO WA BWANA by Zabron Singers (SMS SKIZA 856...
05:50 | 49,613,706
NYUMBANI MWA BWANA NYUMBANI MWA BWANA
05:54 | 785,035
KIKUYU MEDLEYS - Safari Voices International KIKUYU MEDLEYS - Safari Voices International
08:16 | 1,458,144

shopee ads