Okebiz Video SearchTitle:KIDOLE JUU - Kwaya Kuu Mt. Cesilia Arusha Tanzania - Sms SKIZA 7472325 to 811
Duration:07:54
Viewed:0
Published:28-01-2019
Source:Youtube

Hayo mliyofunuliwa, bila kuyalipia kitu, Nayo ndiyo yale mliyotumwa, Kwenda kwa walio wadogo Mungu alowatunukia awe mkuu peke yake {Jiulize} nani kwenu {aliyeomba} kuzaliwa! {Jiulize tena} nani kwenu {anayejua} siku ya kufa! Hakuna! Hakuna! ha! Hakuna jambo mnalomiliki hapa duniani Yote mliyo nayo yana mwenyewe mnamjua Naye amewapa haya kusudi mtumikiane Ili kusiwepo na matabaka miongoni mwenu Hiyo ndiyo hekima - ee aa ee Hiyo ndiyo hekima - Ndugu hiyo ndiyo hekima ya kweli } x2 Kama mliyo nayo yote yangekuwa yenu Hiyo pumzi mnayojivunia wapendwa, Isingekuwa inakiogopa kichomi Ingeendelea hata palipo kichomi! Uzuri wa sura zenu zenye ngozi laini Inakuwaje hamuwezi kuuelekeza, Usiungue hata kwenye maji ya moto Na usioze unapolala kaburini! Elimu na vyeo vyenu na mamlaka yenu Akili nyingi ufundi navyo vipaji vyenu, Mbona hamvitumii nyi mkiwa usingizini Na mnaota ndoto sawa na za watoto! Basi mimi, ninahimizwa, kujiepusha, kujiinua Nijishushe, mbele ya wote, Wawe wakubwa, au wadogo Nisijiinue kati ya watu hata siku moja, Badala yake nijinyenyekeze ili nifikike, Akihitajika atakayewatumikia watu Niinue kidole juu kusudi wanitume mimi, daima Kidole juu kusudi wanitume mimi Kidole juu, kuitikia wito daima Kidole juu, kusudi wanitume mimi Na nikitumwa niwe mwaminifu daima Kidole juu, kusudi wanitume mimi Kidole juu wanitume na Mungu atukuzwe daima Kidole juu, kusudi wanitume mimi Kidole juu, kidole juu, leo Kidole juu, kusudi wanitume mimi Kidole juu, kidole juu, daima Kidole juu, kusudi wanitumie mimi, milele!

SHARE TO YOUR FRIENDS


Download Server 1


DOWNLOAD MP4

Download Server 2


DOWNLOAD MP4

Alternative Download :SPONSORED
Loading...
RELATED VIDEOS
MSHIPI - Kwaya Kuu Mt. Cesilia Arusha, Tanzania -  Sms SKIZA 7012622 to 811 MSHIPI - Kwaya Kuu Mt. Cesilia Arusha, Tanzania...
06:04 | 7,147,209
Mt. Kizito Makuburi-YESU NI MWEMA, (official music video) Mt. Kizito Makuburi-YESU NI MWEMA, (official mu...
06:14 | 3,993,263
BWANA UNIBADILI  Kwaya ya Mt.Maria Goreth Chuo kikuu- Ushirika - Moshi BWANA UNIBADILI Kwaya ya Mt.Maria Goreth Chuo ...
05:18 | 13,787,465
Mt. Kizito Makuburi - Wewe ni Mungu (Official Music Video) Mt. Kizito Makuburi - Wewe ni Mungu (Official M...
09:29 | 5,575,776
NI KWA NEEMA(Official Video)- Kwaya ya Mt.Secilia Makuburi DSM NI KWA NEEMA(Official Video)- Kwaya ya Mt.Secil...
10:03 | 920,825
Kongoi Mising   ST  PETER'S CATHOLIC CHOIR  KAPSABET - Sms SKIZA 7472347 to 811 Kongoi Mising ST PETER'S CATHOLIC CHOIR KAP...
06:47 | 3,913,718
MVUA - Kwaya Kuu Ya Mt. Cesilia Arusha - Tanzania - Sms SKIZA 7472326 to 811 MVUA - Kwaya Kuu Ya Mt. Cesilia Arusha - Tanzan...
04:49 | 328,385
TUNAPASWA KUSHUKURU TUNAPASWA KUSHUKURU
05:50 | 2,320,813

shopee ads

coinpayu