Okebiz Video SearchTitle:Simba SC ilivyoichapa Nkana FC goli 3-1
Duration:06:24
Viewed:0
Published:23-12-2018
Source:Youtube

Simba SC imefuzu kuingia hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) baada ya leo kuichapa Nkana FC ya Zambia magoli 3-1 katika mchezo wa marudiano uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Matokeo hayo yameifanya Simba ifuzu hatua hiyo kwa jumla ya mabao 4-3 kufuatia kufungwa mabao 2-1 katika mchezo wa kwanza uliopigwa nchini Zambia wiki moja iliyopita. Katika mchezo wa leo Nkana ndiyo waliotangulia kupata bao dakika ya 17 kupitia kwa Walter Bwalya akimalizia kwa mpira ambao mabeki wa Simba waliuzembea kwa kufanya mchezo wa kuotea. Simba walitulia na kupata bao la kusawazisha kupitia kwa Jonas Mkude dakika ya 29, kabla ya Meddie Kagere kupachika bao la pili kwa kichwa dakika ya 45 na baadaye dakika ya 88, Clatous Chama kuipa Simba bao la ushindi. Simba SC beats Zambia giants Nkana FC 3-1 in Dar Es Salaam to qualify for CAF Champions League group stage. 23/12/2018. #simbankana #simbascnkanafc #simba3-nkana1 Tazama LIVE mechi za Vodacom Premier League na vipindi vingine kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► play.google.com/store/apps/details?id=com.azamtv.m… Tutuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: www.instagram.com/azamtvtz/ ►TWITTER: twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: www.azamtv.co.tz/

SHARE TO YOUR FRIENDS


Download Server 1


DOWNLOAD MP4

Download Server 2


DOWNLOAD MP4

Alternative Download :SPONSORED
Loading...
RELATED VIDEOS
SALEH JEMBE AMCHAMBUA C.E.O MPYA SIMBA/ZAIDI YA BABRA SENZO/SIMBA WAMELAMBA DUME SALEH JEMBE AMCHAMBUA C.E.O MPYA SIMBA/ZAIDI YA...
23:34 | 17,375
#FT :SIMBA 4-1 YANGA Magoli Yote Haya Hapa #FT :SIMBA 4-1 YANGA Magoli Yote Haya Hapa
07:11 | 4,620,043
Simba vs vita club 4 1 all goals Highlights Simba vs vita club 4 1 all goals Highlights
08:36 | 310,087
PSG vs Saudi All Stars 5-4 All Goals & Highlights - Ronaldo Debut 2023 PSG vs Saudi All Stars 5-4 All Goals & Highligh...
10:19 | 9,858,190
SIMBA SC 4 -1 MBABANE SWALLOWS; HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (CAF CL - 28/11/2018) SIMBA SC 4 -1 MBABANE SWALLOWS; HIGHLIGHTS & IN...
33:56 | 1,393,706
SIMBA SC 4 - 2 AZAM FC: MAGOLI YOTE: (NGAO YA JAMII:   17/8/2019) SIMBA SC 4 - 2 AZAM FC: MAGOLI YOTE: (NGAO YA J...
08:21 | 3,806,096
Simba vs Yanga (4-1): Highlights 2, magoli yote yamo - Nusu fainali ASFC 12/07/2020 Simba vs Yanga (4-1): Highlights 2, magoli yote...
14:59 | 3,223,624
Real Madrid vs Paris Saint Germain 5-2 All Goals HD Real Madrid vs Paris Saint Germain 5-2 All Goal...
21:12 | 27,348,614

shopee ads

coinpayu