Title | : | KIKWETE ASIMULIA SWALI ALILOULIZWA NA MJUKUU WAKE "KWANINI MAGUFULI KACHUKUA KAZI YAKO?" |
Duration | : | 15:21 |
Viewed | : | 382,904 |
Published | : | 19-12-2021 |
Source | : | Youtube |
Rais Mstaafu wa Tanzania, Dr. Jakaya Kikwete amewasihi Wastaafu nchini kujishughulisha na shughuli mbalimbali na kufanya mazoezi badala ya kutumia muda mwingi kulala tu ili kuepusha miili na ubongo kutochoka haraka.
Dr. Kikwete ametoa rai hiyo wakati wa shughuli za kuwaaga Askari Wastaafu Wilayani Chalinze ambapo Rais huyo Mstaafu alikuwa Mgeni rasmi.
SHARE TO YOUR FRIENDS
Scan me