Title | : | SABAYA ALIA MAHAKAMANI AKIOMBA AACHIWE - 'SISTAHILI MALIPO HAYA, NILITAKIWA KUULIWA" |
Duration | : | 15:59 |
Viewed | : | 259,692 |
Published | : | 16-08-2021 |
Source | : | Youtube |
SABAYA ALIA MAHAKAMANI AKIOMBA AACHIWE - 'SISTAHILI MALIPO HAYA, NILITAKIWA KUULIWA"
''Shitaka nililotengezewa Polisi wamedanganywa waendesha mashtaka wamedanganywa kwa misingi ya Giriba na Chuki sababu za kisiasa na niaina ya Siasa za Arusha na Hai'' Lengai Ole Sabaya.
Sabaya aliileza mahakama kuwa anamshukuru Mungu kwa kuwa anaendelea kuishi kwakuwa kabla ya kesi kunamambo mengine makwabwa yalikuwa yamepangwa dhidi yake
Sabaya machozi yakashindwa uwezo wa mcho kuyazuia huku machozi yakimdoka usoni akiuinamisha chin machozi yakichuruziki moja kwa moja kwenye marakoa nyeupe aliyoivaa mdomoni akiongea kwa huzuni na kwikwi
Kwa wiki 3 nilikuwa mkimbizi ndani ya nchi yangu kwa Mara 2 watu walifanyamajaribio ya kutaka kuniua ndania ya wilaya yangu
Hakuna viongozi wasiojua hata vyombo vyote vya ulinzi na usalama na mamlka inajua.
Na kwavyovyote mh Hakimu Mimi malipo yangu yasingeweza kuwa hayo yakuambiwa nimeiba mali ya mmachinga elfu 35 wakati Mimi niliwahi kuwapigania Mali zao zikarudishwa hayawezi kuwa malipo hayo
Mbele ya Mahakama Lengai ole sabaya alianza kuiileza mahakama kuwa
Katika shitaka la 3 kabla ya kumuibia Hans simu yake mlimpiga na kuchukua shikingi elf u 35 na kumtishia kwa Bunduki
Huyo shahidi anaedaiwa kutendewa hayo alifika mahakamani akiwa shahidi wa 3 katika maelezo yake hapa mahakamani hakuna sehehemu yoyote aliyosema aliwahi kufungwa pingu na Kama ailitishiwa na Bunduki kabla na baada ya kuibiwa fedha
Alisema hapa mahakamani hamjui aliyempekua maungoni nani aliyemuobia hiyo simu
Sabaya Mbele ya Mahakama aliieleza kua Shahidi huyo namba tatu anaedaiwa kupigwa na kuibiwa simu na fedha na upande wa Jamuhuri
Alishindwa kuleta vielelezo vya ushahidi mahakamani wakati akitoa ushahidi wake
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:
bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:
apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON:
www.amazon.com/shop/globaltvonline
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:
shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV:
bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW:
bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV
bit.ly/globaltvonline
SHARE TO YOUR FRIENDS
Scan me