Title | : | “SIVAI KOMBATI KWA KUIGIZA MIMI NI MWANAJESHI,TUCHAPE KAZI”,RC IBUGE |
Duration | : | 02:04 |
Viewed | : | 10,923 |
Published | : | 26-06-2022 |
Source | : | Youtube |
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge amewaeleza madiwani wa Halmashauri za Mkoa wa Ruvuma kwa nyakati tofauti kuwa jukumu alilopewa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ni kusimamia utendaji kazi ili kusukuma gurudumu la maendeleo kwa wananchi wa Ruvuma kwa kutekeleza Ilani ya CCM ya 2020 hadi 2025 na kwamba hana mpango wa kuingia kwenye Siasa.
SHARE TO YOUR FRIENDS
Scan me