Okebiz Video SearchTitle:MAOMBI YA KUMFUNGUA MUME WAKO - MWL. ISAAC JAVAN
Duration:34:07
Viewed:65,564
Published:06-10-2021
Source:Youtube

Haya ni maombi maalum kwa mwanamke aliyeolewa ambaye anapitia mambo yafuatayo:- 1. Mume wake ana mahusiano nje ya ndoa. 2. Mume wake ametelekeza familia. 3. Mume wake ametoka kwenye nafasi yake kama mume na kama baba wa familia. Lengo la maombi haya ni kufungua vifungo vya kiroho ambavyo nyuma yake kuna mtu au watu. Mungu anapotaka kufanya jambo kwenye maisha, anatumia mtu. Shetani pia anapotaka kuharibu jambo, anatumia mtu. Kuna mtu au watu ambao shetani anawatumia kuharibu ndoa. Zipo ndoa zilizovunjika kwa sababu ya watu ambao shetani aliwatumia. Zipo familia zilizopoteza muelekeo na maono ya ki-Mungu kwa sababu kuna mtu au watu waliotumiwa na shetani kupitisha uharibifu. Ni maombi yetu ya kwamba maombi haya yafanyike msaada kwako, na Mungu aliye hai, kwa jina la YESU afanye urejesho kwenye ndoa yako. Unapofanya maombi haya, simamia mstari huu, "Basi alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe" [MARKO 10:9]. MUHIMU! Usiombe maombi haya kwa mazoea! Omba kwa kumaanisha. Pata eneo lenye utulivu, paza sauti yako mbele za BWANA. Haya ni maombi ya vita, kwa hiyo omba kwa kumaanisha, usikae kimya katikati ya maombi. Hakikisha unapambana kwa ajili ya mume wako. Ukiona machozi yanatoka, usizuie, endelea. Mahali pa kukemea, kemea. Mahali pa kuamuru, amuru. Mungu anaenda kufanya kitu kikubwa kwa utukufu wa jina lake. Mungu akubariki. Mshirikishe na mwanamke mwingine ambaye anaweza akanufaika na maombi haya.

SHARE TO YOUR FRIENDS


Download Server 1


DOWNLOAD MP4

Download Server 2


DOWNLOAD MP4

Alternative Download :SPONSORED
Loading...
RELATED VIDEOS
MAOMBI YA KUMFUNGUA MUME WAKO | Kufuta Matamko Ya Kuachana | MWL. ISAAC JAVAN MAOMBI YA KUMFUNGUA MUME WAKO | Kufuta Matamko ...
43:01 | 1,702
1. KUTAMBUA WITO ULIOITIWA | Mwl. Isaac Javan 1. KUTAMBUA WITO ULIOITIWA | Mwl. Isaac Javan
29:20 | 177
MAOMBI YA KUFUNGUA MILANGO by Innocent Morris MAOMBI YA KUFUNGUA MILANGO by Innocent Morris
31:16 | 13,433
MAOMBI YA KUPONYA HISTORIA YA MAISHA YAKO (Deliverance) - MWL. ISAAC JAVAN MAOMBI YA KUPONYA HISTORIA YA MAISHA YAKO (Deli...
49:54 | 42,974
40. MAOMBI YA KUPONYA HISTORIA YA MAISHA YAKO | UCHUMBA | MAHARI | NDOA | MWL. ISAAC JAVAN 40. MAOMBI YA KUPONYA HISTORIA YA MAISHA YAKO |...
36:18 | 3,690
MAOMBI YA KUVUNJA NGUVU ZA KICHAWI - MWL. ISAAC JAVAN - VOL.03 MAOMBI YA KUVUNJA NGUVU ZA KICHAWI - MWL. ISAAC...
29:09 | 301,142
35. MAOMBI YA KUFUNGUA TUMBO LA UZAZI | HISTORIA YA MAISHA | DELIVERANCE | MWL. ISAAC JAVAN 35. MAOMBI YA KUFUNGUA TUMBO LA UZAZI | HISTORI...
52:08 | 4,901
PLAY THIS MIDNIGHT BATTLE PRAYER EVERY NIGHT AS YOU SLEEP | APOSTLE JOSHUA SELMAN PLAY THIS MIDNIGHT BATTLE PRAYER EVERY NIGHT AS...
57:37 | 5,444,312

shopee ads

coinpayu