Okebiz Video SearchTitle:MAOMBI YA KUMKABIDHI BWANA MAMBO YAKO by Innocent Morris
Duration:01:32:48
Viewed:8,745
Published:03-10-2022
Source:Youtube

MAOMBI YA KUMKABIDHI BWANA MAMBO YAKO by Innocent Morris Mambo ya watu wengi hayafanikiwi kwa sababu wanaanza pasipo kumkabidhi Bwana. Wengine wanafahamu umuhimu wa kumkabidhi Bwana lakini hawafahamu namna ya kumkabidhi Bwana mipango yao au mambo yao. Katika maombi haya nimeelekeza yote na nimeomba pia. Biblia inasema katika Mithali 16:3 kwamba "Mkabidhi Bwana kazi zako, Na mawazo yako yatathibitika." Tafsiri ya Biblia ya Habari Njema imetumia lugha rahisi sana inasema "Mwekee Mwenyezi-Mungu kazi yako, nayo mipango yako itafanikiwa." Methali 16:3 BHN Ili mipango yetu ifanikiwe ni lazima tumkabidhi Bwana Yesu kazi zetu, atawale Yeye. Kuna faida kubwa sana kufanya kazi yako na Yesu. Karibu tuombe pamoja. Hakika mipango yako yote na mambo yako yote yatafanikiwa. Ubarikiwe sana. Contacts: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: www.instagram.com/holyspiritconnect Facebook Link: www.facebook.com/holyspiritconnect YouTube Link: youtube.com/holyspiritconnect

SHARE TO YOUR FRIENDS


Download Server 1


DOWNLOAD MP4

Download Server 2


DOWNLOAD MP4

Alternative Download :SPONSORED
Loading...
RELATED VIDEOS
MWL, CHRISTOPHER MWAKASEGE: MAOMBI YA KUONDOA VIKWAZO KWENYE MALANGO YALIYO BEBA FURSA ZAKO. MWL, CHRISTOPHER MWAKASEGE: MAOMBI YA KUONDOA V...
30:35 | 228,300
USIKU WA MAOMBI 16/09/2022 by  Innocent Morris USIKU WA MAOMBI 16/09/2022 by Innocent Morris
19:13 | 11,103
BK Sunday Service 12/4/2022 BK Sunday Service 12/4/2022
19:43 | 33
MAOMBI YA KUFUNGUA MILANGO by Innocent Morris MAOMBI YA KUFUNGUA MILANGO by Innocent Morris
31:16 | 14,145
MAOMBI: Omba kitu chochote kilicho kufa katika maisha yako kifufuke by Innocent Morris MAOMBI: Omba kitu chochote kilicho kufa katika ...
11:54 | 23,570
Maombi Maombi
40:23 | 369
MAOMBI YA KUMFUNGUA MUME WAKO | Kufuta Matamko Ya Kuachana | MWL. ISAAC JAVAN MAOMBI YA KUMFUNGUA MUME WAKO | Kufuta Matamko ...
43:01 | 2,326
MAOMBI YA KUOMBEA HATUA ZAKO by Innocent Morris MAOMBI YA KUOMBEA HATUA ZAKO by Innocent Morris
21:31 | 33,773

shopee ads