Okebiz Video SearchTitle:#Mzee wa upako Zijue sifa za manabii wa uongo Part Two | Chief Mwantembe
Duration:18:34
Viewed:26,861
Published:23-11-2020
Source:Youtube

JUMAPILI HII USIKOSE KONGAMANO KUBWA LA DUA SALA NA MAOMBEZI LITAKALO AMBATANA NA VIFUNGO KUTAKUWA NA MAJI YA UPAKO NA MAFUTA YA UPAKO KWA UTIMILIFU UTAKAYO MALIZA UCHAWI NA MASHETANI MIKOSI NUKSI NA BALAA MAJI YA UPAKO HAYA YANA UWEZO WA AJABU NA PIA MAFUTA YA UPAKO YA UWEZO WA AJABU UKIAMINI KUSAIDIKA NI LAZIMA .KUFUNGULIWA NA MIUJIZA TELE. TUTAKURUHUSU UJE NA TATIZO AMBALO UTATOKA NALO USIOFU CHIEFMWANTEMBE AMEKUWA BARAKA KWA WENGI KATIKA ARDHIZI YA TANZANIA KWA MIAKA 37 SASA KUPITIA YEYE MUNGU AMEKUSA WENGI NI MZEE WA UPAKO CHIEF MWANTEMBE BISHOP ANTONY LUSEKELO HAYAA SHIME KANYANGA TWENDE WAKATI WAKO NI SASA. HATASHUGHULIKA NA MATATIZO YAKO BILA KUCHUKUA DINI YAKO. KWA MAWASILIANO 0754606082 KABLA YA KUPIGA ANDIKA SMS UTAJIBIWA KWA WAKATI. Askofu Antony Lusekelo ni kiongozi wa kiroho mwenye ushawishi na maono. Yeye ndiye mwanzilishi na mchungaji mwandamizi wa kanisa la Tutashinda. Watazamaji zaidi ya million 5 hutazama jumbe zake za kutia moyo kila wiki kupitia runinga ya channel ten na zaidi ya watu milioni 1.7 wanaungana na Mzee wa upako kupitia majukwaa yake ya mitandao ya kijamii ulimwenguni. Mzee wa upako anaweza kusikika 24/7 kwenye channel zake za Youtube Mzee wa upako na TUTASHINDA CHURCH. Ungana na Askofu Antony Lusekelo kwenye Instagram Mzeewaupakotz.

SHARE TO YOUR FRIENDS


Download Server 1


DOWNLOAD MP4

Download Server 2


DOWNLOAD MP4

Alternative Download :SPONSORED
Loading...
RELATED VIDEOS
#MZEE WA UPAKO | ZIJUE SIFA ZA MANABII WA UONGO | PART ONE CHIEF MWANTEMBE #MZEE WA UPAKO | ZIJUE SIFA ZA MANABII WA UONGO...
18:32 | 8,573
#LIVE | MZEE WA UPAKO | CHIEF MWANTEMBE #LIVE | MZEE WA UPAKO | CHIEF MWANTEMBE
19:16 | 1,557
IBADA YA MWEZI NOVEMBA 2022 IBADA YA MWEZI NOVEMBA 2022
12:37 | 339
HEKIMA ZA MFALME SELEMANI HEKIMA ZA MFALME SELEMANI
55:28 | 16,632
KISIMA CHA MAARIFA KISIMA CHA MAARIFA
00:00 | 0
NEBUKADREZA MTAWALA WA DOLA YA BABELI  . NEBUKADREZA MTAWALA WA DOLA YA BABELI .
58:16 | 10,089
Mchungaji DANIEL MGOGO Amvaa Mwamposa Mchungaji DANIEL MGOGO Amvaa Mwamposa"AKEMEA UT...
14:12 | 790,114
Mahubiri kuhusu shetani Mahubiri kuhusu shetani
16:39 | 24,477

shopee ads