Okebiz Video SearchTitle:NAKUKARIBISHA YESU (Official Video)
Duration:04:13
Viewed:2,496,653
Published:26-06-2020
Source:Youtube

Kwaya ya Mtakatifu Boniface Askofu na Shahidi kutoka Parokia ya Moyo Mtakatifu wa Yesu Sombetini Arusha wanakukaribisha kusikiliza na kutazama wimbo wa Ekaristi uitwao Nakukaribisha Yesu utunzi wake Ray Ufunguo.Wimbo huu umerekodiwa katika studio za RAJO Productions. Tunamshukuru sana Fr. Teilo M Lwande AJ. kwa kufanya English subtittles. Huu ni wimbo ulio bora wenye maneno matamu na tunaalikwa kushiriki ili tuweze kupata Neema za Mungu. Tunapoendelea kutafakari, Mungu aweze ku mimina neema katika maisha yetu na mwisho wa siku tuyaache maisha ya kale na tuwe wapya. Bwana unibadili niweze kuishi kadiri ya njia zako. Tuatakapoyashuhudia matendo makuu ya Mungu, basi Tumpigie Mungu Kelele za shangwe ili Sifa na Utukufu virudi kwa Mungu. #miminaneema #bwanaunibadili #rajoproductions #kwayakatoliki #gospelmusic

SHARE TO YOUR FRIENDS


Download Server 1


DOWNLOAD MP4

Download Server 2


DOWNLOAD MP4

Alternative Download :SPONSORED
Loading...
RELATED VIDEOS
Mama Maria Ni Mama Yetu  -  2022  -  Nyimbo Za Mama Bikira Maria Mama Maria Ni Mama Yetu - 2022 - Nyimbo Za ...
42:51 | 599,455
DEVIL AGAINST COMPLETION OF THE WORK OF GRACE HINDERING BELIEVERS FROM HOLYGHOST -27TH NOVEMBER 2022 DEVIL AGAINST COMPLETION OF THE WORK OF GRACE H...
54:19 | 59
MPIGIENI MUNGU KELELE ZA SHANGWE (OFFICIAL VIDEO) MPIGIENI MUNGU KELELE ZA SHANGWE (OFFICIAL VIDEO)
04:20 | 2,587,609
Chanson Swahili: Jenga Urafiki na Yesu Chanson Swahili: Jenga Urafiki na Yesu
06:07 | 121,169
aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu - (with lyrics) aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu - (wit...
04:54 | 276,845
Best of St. Joseph's Migori Catholic Choir || Kenyan Gospel Mix {2020} Best of St. Joseph's Migori Catholic Choir || K...
13:09 | 617,857
Catholic Swahili Misa Mix Catholic Swahili Misa Mix
58:50 | 157,250
HABARI ZA YESU (OFFICIAL VIDEO) HABARI ZA YESU (OFFICIAL VIDEO)
06:31 | 1,547,786

shopee ads