Title | : | JAMES TUPATUPA:FEI TOTO AMEFUNGA GOLI BORA/MOSES PHIRI ATACHUKUA KIATU/AZAM WAMEPATA FUNGUO |
Duration | : | 18:42 |
Viewed | : | 0 |
Published | : | 06-12-2022 |
Source | : | Youtube |
Mpenja Tv tumekuletea mahojiano na Mtangazaji wa Michezo nchini kupitia Clouds Media Group akitoa tathmini yake kwa ujumla kuhusu duru la kwanza la ligi kuu ya NBC kwa baadhi ya timu kuwa wameshalifunga.
James pia kupitia mahojiano haya ametaja goli lake bora kwa michezo yote ya ligi kuu kwa msimu huu,Huku akimtabiria makubwa zaidi Moses Phiri wa Simba Sc kuwa anaweza kuchukua kiatu cha dhahabu mwishoni mwa msimu.
Kwa hayo na mengine mengi tazama video hii
SHARE TO YOUR FRIENDS
Scan me