Title | : | RC Mghwira Ambeba Dc Sabaya Mbele ya Askari Wake |
Duration | : | 15:33 |
Viewed | : | 217,482 |
Published | : | 05-11-2018 |
Source | : | Youtube |
RC Mghwira 'Amlipua' DC Hadharani "Mnakamata sana watu"
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira, Leo Novemba 05, amekabidhi usafiri wa pikipiki kwa Askari polisi wa wilaya ya Hai kwa ajili ya kuwarahisishia katika utendaji kazi wao.
Akizungumza katika hafla hiyo RC Mghwira amempongeza Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, kwa kusimamia zoezi la ukusanyaji wa mapato katika vyanzo mbalimbali vilivyopo wilayani humo ambayo ndiyo yamepelekea kununuliwa kwa pikipiki hizo.
FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers
Instagram: www.instagram.com/globalpublishers
Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari
Install Global App: ANDROID:
goo.gl/QvT6RV
Install Global App: iOS:
goo.gl/2jDyho
SHARE TO YOUR FRIENDS
Scan me