Okebiz Video SearchTitle:HABARI ZA YESU (OFFICIAL VIDEO)
Duration:06:31
Viewed:0
Published:18-09-2019
Source:Youtube

Kwaya ya Mt. Gregory Mkuu - Kristo Mfalme - Moshi. Wajulisheni watu 'Habari Za Yesu, Habari za utukufu, ziwafikie wote.' Huo ni wajibu wa kila aliyebatizwa. Kutanganza na kueneza habari njema za Yesu Kristo. Ni Ujumbe kutoka kwaya ya Mt.Gregory Mkuu, Parokia ya Kristo Mfalme - Moshi, Jimbo Katoliki Moshi. Wimbo huu ni Utunzi wake Mussa Charles Mabogo. Tunawaalika kusikiliza na kutazama wimbo huu na ikawe fursa kwa kila mmoja wetu kushiriki katika kutangaza habari njema za Yesu Kristo. Audio na Video vimefanyika katika studio za RAJO Productions. KARIBUNI. Kwa mawasiliano na kwaya hii, tumia namba zifuatazo; +255 763 600 793 au +255 784 551 089 This song is about Spreading The Gospel of Jesus Christ to the whole world. Let the world get to hear about Jesus Christ. Telling the world about Jesus Christ. With the sweet melody and well arranged music from one among the best catholic choirs in Tanzania, you are invited to listen and watch this video from St.Gregory Choir in Moshi - Kilimanjaro. Tuyasikilize Maneno Matamu ya wimbo huu wa kwaya katoliki, Wimbo ulio bora, kisha kwa kubarikiwa kwetu Bwana Yesu Mimina Neema zako kwa kila mmoja wetu, Shusha Baraka zako na Mwisho maisha yetu yakajazwe na Neema ya Mungu. Bwana Unibadili niyaache yote na ninapozisikia habari zako, Moyo wangu ukufuate wewe milele. Enyi mataifa, Mshukuruni Bwana. Amina. #kwayakatoliki

SHARE TO YOUR FRIENDS


Download Server 1


DOWNLOAD MP4

Download Server 2


DOWNLOAD MP4

Alternative Download :SPONSORED
Loading...
RELATED VIDEOS
BWANA UNIBADILI  Kwaya ya Mt.Maria Goreth Chuo kikuu- Ushirika - Moshi BWANA UNIBADILI Kwaya ya Mt.Maria Goreth Chuo ...
05:18 | 13,810,842
Swahili Worship Mix Nyimbo za Kuabudu (Mchanganyiko) Swahili Worship Mix Nyimbo za Kuabudu (Mchangan...
56:04 | 997,798
NITAKUTUKUZA MUNGU by Kwaya ya Mt.Gregory Mkuu, St. John University DODOMA TZ NITAKUTUKUZA MUNGU by Kwaya ya Mt.Gregory Mkuu,...
08:54 | 2,240,560
MOYO WA YESU (Official Video HD) -  Mtunzi:Gilbert Anthony MOYO WA YESU (Official Video HD) - Mtunzi:Gilb...
06:02 | 69,299
MBINGU ZILIFANYIKA Kwaya ya Mt.Agustino Manundu Korogwe MBINGU ZILIFANYIKA Kwaya ya Mt.Agustino Manundu...
04:55 | 1,990,145
MIMINA NEEMA OFFICIAL VIDEO MIMINA NEEMA OFFICIAL VIDEO
05:42 | 20,540,532
FURAHA YANGU By Kwaya ya Mt. Theresia wa Mtoto Yesu, Kigango cha Sabasaba Mafinga Tz FURAHA YANGU By Kwaya ya Mt. Theresia wa Mtoto ...
06:11 | 1,090,399
BWANA MKUBWA - official Video BWANA MKUBWA - official Video
08:01 | 2,045,595

shopee ads

coinpayu