Title | : | Acheni kufanya kazi kwa maigizo- Mhe. Jafo |
Duration | : | 10:52 |
Viewed | : | 21,904 |
Published | : | 05-01-2021 |
Source | : | Youtube |
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe. Selemani Jafo, ameuonya uongozi wa Halmashauri ya Wilaya Geita Idara ya Afya kuacha kufanya kazi kwa maigizo, Jafo amesema hayo baada ya uongozi wa kituo cha Afya Kasota wilayani humo kuanza kufanya ya usafi wa jengo la X-ray, baada yakupata taarifa ya ujio wa Waziri huyo.
SHARE TO YOUR FRIENDS
Scan me