Title | : | Vilabu na baa zafungwa kwenye maeneo ya makazi Nairobi |
Duration | : | 03:01 |
Viewed | : | 0 |
Published | : | 29-11-2022 |
Source | : | Youtube |
Watu 17 wamekamatwa kwenye msako uliofanywa kwenye vilabu na baa jijini Nairobi usiku wa kuamkia leo, huku serikali ya kaunti ya Nairobi ikitekeleza agizo la gavana Johnson Sakaja dhidi ya vilabu jijini. Msako huu ukijiri huku Rais William Ruto akitangaza kuunga mkono uamuzi huo kufutilia mbali leseni za vilabu na baa zilizo kwenye maeneo ya makaazi
SHARE TO YOUR FRIENDS
Scan me