Okebiz Video SearchTitle:Yanga 3-3 Coastal Union (Pen: 4-1) | Highlights | Fainali ASFC 02/07/2022
Duration:28:50
Viewed:490,522
Published:02-07-2022
Source:Youtube

Yanga SC wamebeba Kombe la Shirikisho la Azam Sports #ASFC kwa kuitandika Coastal Union penati 4-1 kufuatia sare ya mabao 3-3 katika dakika 120. Magoli ya Yanga kwenye mchezo huo yamefungwa na Feisal Salum dakika ya 57, Heritier Makambo dakika 82 na Denis Nkane dakika ya 113 huku magoli yote ya Coastal Union yakifungwa na Abdul Suleiman Sopu ambaye amefunga #Hattrick dakika ya 11, 88 na 98. Katika mikwaju ya penati, Yanga wamefunga penati zote nne walizopiga kupitia kwa Yanick Bangala, Heritier Makambo, Dickson Job na Khalid Aucho huku Coastal wakipoteza penati mbili na kufunga moja kupitia kwa Victor Akpan. Fainali hii imepigwa kwenye Dimba la Sheikh Amri Abeid, Arusha...... Kutazama magoli na penati pekee ingia hapa https://www.youtube.com/watch?v=ZCSzq...

SHARE TO YOUR FRIENDS


Download Server 1


DOWNLOAD MP4

Download Server 2


DOWNLOAD MP4

Alternative Download :SPONSORED
Loading...
RELATED VIDEOS
Yanga 2-1 Simba | Highlights | Ngao ya Jamii 13/08/2022 Yanga 2-1 Simba | Highlights | Ngao ya Jamii 13...
23:51 | 2,155,682
Yanga ilivyoichapa Simba 1-0 mbele ya Rais Magufuli Yanga ilivyoichapa Simba 1-0 mbele ya Rais Magu...
26:37 | 5,196,832
Magoli yote manne yalivyofungwa katika mpambano mkali wa Simba na Yanga Magoli yote manne yalivyofungwa katika mpambano...
06:27 | 3,256,520
Angalia jinsi Simba na Yanga walivyotoana jasho kupata 2-2 Angalia jinsi Simba na Yanga walivyotoana jasho...
41:57 | 3,206,997
Simba vs Yanga (4-1): Highlights 2, magoli yote yamo - Nusu fainali ASFC 12/07/2020 Simba vs Yanga (4-1): Highlights 2, magoli yote...
14:59 | 3,080,529
USA vs COSFA πŸ‰πŸ‰πŸ‰πŸ‰ USA vs COSFA πŸ‰πŸ‰πŸ‰πŸ‰
04:09 | 437
Highlights | Al Hilal 1-0 Simba SC | Mechi ya Kirafiki 31/08/2022 Highlights | Al Hilal 1-0 Simba SC | Mechi ya K...
13:37 | 193,436
πŸ”΄#live: LIBYA VS TANZANIA | MANULA Apangua Penati | Magoli Yote πŸ”΄#live: LIBYA VS TANZANIA | MANULA Apangua P...
08:27 | 122,797

shopee ads