Title | : | MSHIKEMSHIKE VIWANJANI - AZAM TV 09/12/2022 |
Duration | : | 49:39 |
Viewed | : | 0 |
Published | : | 09-12-2022 |
Source | : | Youtube |
Mengi ya kimichezo yako hapa, kubwa ikiwa ni kichapo cha mabao 9-0 Azam FC wakiwapiga Malimao FC... Lakini Pia Ahmed Ally yumo akieleza maandalizi kuelekea mchezo wao na Eagles.... Bila kumsahau Privadinho kutoka Yanga ambaye ana ujumbe mzito kwa mashabiki na wanachama wa Yanga.
Wachambuzi ni Salama Ngale na Rashid Seif... host ni Akida KIlango.
Huu hapa
#MshikemshikeViwanjani Ijumaa ya leo.
SHARE TO YOUR FRIENDS
Scan me