Okebiz Video SearchTitle:MPIGIENI MUNGU KELELE ZA SHANGWE (OFFICIAL VIDEO)
Duration:04:20
Viewed:0
Published:01-06-2020
Source:Youtube

Wimbo uliotungwa naye Felician Albert Nyundo (FAN) +... Wimbo ulioimbwa na kujulikana na wengi miaka kadhaa iliyopita na hata sasa bado unapendwa na walio wengi. Kwaya ya Mtakatifu Boniface Askofu na Shahidi kutoka Parokia ya Moyo Mtakatifu wa Yesu, Sombetini, Jimbo kuu Katoliki la Arusha, wanatushirikisha wimbo huu na wanatualika tumwimbie Mungu na tumpigie Kelele za shangwe.Ni Maneno Matamu kabisa kwa anayependa kumsifu Mungu. Tumwimbie Mungu wetu, naye ata Mimina neema zake katika maisha yetu. Ni neema ya Mungu inayotufanya tuwe tulivyo hivyo tushiriki kikamilifu katika kumwimbia. Bwana unibadili niweze kuacha yote nikutumikie wewe, niweze kukuimbia wewe wimbo ulio bora, niweze kuwa miongoni mwa wateule wako.Karibuni sasa muweze kusikiliza na kutazama.Kwa watakaopenda kuwasiliana na kwaya hii, tumieni namba +255 754 628 685 au +255 754 759 428#kwayakatoliki #mimina neema #bwanaunibadili #manenomatamu

SHARE TO YOUR FRIENDS


Download Server 1


DOWNLOAD MP4

Download Server 2


DOWNLOAD MP4

Alternative Download :SPONSORED
Loading...
RELATED VIDEOS
NAKUKARIBISHA YESU (Official Video) NAKUKARIBISHA YESU (Official Video)
04:13 | 2,693,757
ASANTE YESU ASANTE YESU
06:06 | 3,097,245
BWANA UNIBADILI  Kwaya ya Mt.Maria Goreth Chuo kikuu- Ushirika - Moshi BWANA UNIBADILI Kwaya ya Mt.Maria Goreth Chuo ...
05:18 | 13,815,228
Temeke SDA Choir -Tena tena. (Official Video) Temeke SDA Choir -Tena tena. (Official Video)
04:47 | 2,308
MIMINA NEEMA OFFICIAL VIDEO MIMINA NEEMA OFFICIAL VIDEO
05:42 | 20,549,404
NI KWA NEEMA(Official Video)- Kwaya ya Mt.Secilia Makuburi DSM NI KWA NEEMA(Official Video)- Kwaya ya Mt.Secil...
10:03 | 923,511
MBINGU ZILIFANYIKA Kwaya ya Mt.Agustino Manundu Korogwe MBINGU ZILIFANYIKA Kwaya ya Mt.Agustino Manundu...
04:55 | 1,990,515
YESU KRISTO NI MFALME YESU KRISTO NI MFALME
03:44 | 363,530

shopee ads