Title | : | MDOGO WA MAREHEMU AFUNGUKA, MAUAJI YA WATU 5 WA FAMILIA MOJA DODOMA |
Duration | : | 04:25 |
Viewed | : | 99,634 |
Published | : | 22-01-2022 |
Source | : | Youtube |
MDOGO WA MAREHEMU AFUNGUKA, MAUAJI YA WATU 5 WA FAMILIA MOJA DODOMA
Mdogo wa Marehemu wa familia ya watu wa Tano waliouawa kikatili na watu ambao hadi sasa hawajafahamika huko Kijiji Cha Zanka Wilayani Bahi Mkoani Dodoma Erinest Kapande ameeleza namna alivyopata taarifa ya kifo Cha kaka yake pamoja na familia yake
"Mimi sikuwepo nyumbani nilikuwa nafanya shughuli zangu za kilimo kwahiyo sikuwaona kama siku mbili, ndio taatifa napata Leo jioni" amesema Erinest Kapande
#WasafiDigital
SHARE TO YOUR FRIENDS
Scan me