Okebiz Video SearchTitle:HARMONIZE Alivyomwaga Machozi Kisa DIAMOND - KUSINIGHT
Duration:671
Viewed:3,615,422
Published:17-06-2018
Source:Youtube

HARMONIZE Alivyomwaga Machozi Kisa DIAMOND - KUSINIGHT

STAA wa Bongo, Nasu Abdul ‘ Diamond Platinumz’ amefanya sapraizi ya aina yake na kuwashangaza mashabiki zake baada ya kuibuka kwenye shoo ya Usiku wa Kusini ‘KusiNight’ iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa Dar Live, Mbagala Zakiem.

Shoo iliyokuwa maalum kwa Harmonize, Diamond alishindwa kujizuia na kutoka huko alikokuwa usiku wa manane kisha kuvamia stage ya Dar Live na kugonga nyimbo mbili ikiwemo mpya aliyoshirikishwa na Harmonize, Kwangwaru huku mashabiki wakishindwa kuelewa Mond kaibukia wapi.

Baada ya Diamond kuvamia jukwaa, mashabiki walilipuka kwa shangwe, akaungana na Harmonize huku shoo ikianza upya, mashabiki wakipagwa, na burudani ikanoga kwani hakuna aliyefahamu endapo Mondi angefanya Sapraizi kama hiyo. Mmanyema na Mmakonde wakaliamsha dude, haikua kazi ya kitototo.

Ikumbukwe kwamba, Jukwaa la Dar Live ndilo lilianza kuonyesha njia ya mafanikio ya muziki wa Harmonize mwaka 2015 baada ya kupewa nafasi ya na Diamond ya kuimba kwenye jukwaa hilo, ndipo kipaji chake kilionekana na Mond akamchuku.

Hivyo usiku wa kuamkia leo ilikuwa ni kumbukumbu muhimu kwa wawili hao kukutana tena jukwaa moja lililowakutanisha siku ya kwanza. Mbali na hivyo, iliuwa siku muhimu kwa kumbukumbu ya kipekee ya Harmonize alivyoanza safari yake ya muziki.

Install GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis...

TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1

WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..

SHARE TO YOUR FRIENDS


Download Server 2


DOWNLOAD MP4

Alternative Download :SPONSORED
Loading...
RELATED VIDEOS
AIBU HARMONIZE ANIKA UCHAFU WA WOLPER/NILIMPA MILIONI 30/ALIMTAKA DIAMOND KIMAPENZI/ATAMZALIA MTOTO AIBU HARMONIZE ANIKA UCHAFU WA WOLPER/NILIMPA M...
08:56 - 446
TAZAMA: Kitu DIAMOND Alimfanyia Huyu Dada SARAH Alimtoa Chupi Jukwaani KAHAMA / UTASHANGA TAZAMA: Kitu DIAMOND Alimfanyia Huyu Dada SARAH...
11:22 - 572
20 PACENT Aomba msaada kwa HARMONIZE/ Nisaidie mdogoangu NITAKUFA Alia na  DIAMOND kanipoteza.. 20 PACENT Aomba msaada kwa HARMONIZE/ Nisaidie ...
11:25 - 154
RAIS MAGUFULI AFANYA ZIARA YA GHAFLA GEREZA LA BUTIMBA MWANZA RAIS MAGUFULI AFANYA ZIARA YA GHAFLA GEREZA LA ...
19:05 - 359
HARMONIZE AMUINUA TENA MAGUFULI NA KUCHEZA NAE KWANGWARU LEO MCHANA LINDI HARMONIZE AMUINUA TENA MAGUFULI NA KUCHEZA NAE ...
10:16 - 971
DIAMOND PLATNUMZ ATUA NA HELICOPTER UWANJA WA MKAPA SIMBA DAY DIAMOND PLATNUMZ ATUA NA HELICOPTER UWANJA WA M...
02:31 - 315
Harmonize - Jeshi (Official Music Video) Harmonize - Jeshi (Official Music Video)
03:37 - 510
Harmonize Alivyotoa machozi akiimba wimbo wa Niambie Aliomuandikia Wolper Live JIPOZE CONCERT DODOMA Harmonize Alivyotoa machozi akiimba wimbo wa Ni...
04:03 - 23