Title | : | EXCLUSIVE: MASANJA MKANDAMIZAJI AJENGA KANISA DAR ES SALAAM |
Duration | : | 03:23 |
Viewed | : | 1,244 |
Published | : | 26-02-2020 |
Source | : | Youtube |
Mwigizaji na mchekeshaji ambaye sasa ni mchungaji Emmanuel Mgaya a.k.a. Masanja Mkandamizaji anajenga kanisa lake jijini Dar es salaam maeneo ya Regent Estate jirani na Ubalozi wa Ufaransa na Leader's Club. Michuzi TV ilimkuta hapo leo Februari 26, 2020 na kufanya naye mahojiano
SHARE TO YOUR FRIENDS
Scan me