Okebiz Video SearchTitle:Rais Magufuli ‘amkaanga’ hadharani Mkurungenzi Butiama kisa mamilioni ya ujenzi wa hospitali
Duration:03:05
Viewed:0
Published:06-09-2018
Source:Youtube

Rais Magufuli amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Butiama mkoani Mara Mabula Alphonce kushughulikia haraka ujenzi wa Hospitali ya Wilaya hiyo, huku akibainisha kuwa tayari kuna fedha kiasi cha shilingi milioni 400 ambazo tayari zimetolewa. Rais Magufuli amemuita mkurugenzi huyo mbele ya wananchi na kumtaka kuzitumia fedha hizo kwanza kabla ya kuomba fedha nyingine, huku akiahidi kumfuatilia. Ni katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo Septemba 6 kwenye Uwanja wa Mwenge wilayani Butiama, mkoani Mara.

SHARE TO YOUR FRIENDS


Download Server 1


DOWNLOAD MP4

Download Server 2


DOWNLOAD MP4

Alternative Download :SPONSORED
Loading...
RELATED VIDEOS
Azam TV - JPM amuumbua hadharani aliyesema anaidai serikali Tsh. bil 7 Azam TV - JPM amuumbua hadharani aliyesema anai...
04:43 | 250,401
BREAKING: MAGUFULI AMTUMBUA LUGOLA BREAKING: MAGUFULI AMTUMBUA LUGOLA "UNANITESA, ...
05:47 | 1,182,638
"NENDA KAMKAMATE SASA HIVI, UMUWEKE NDANI HARAK...
08:41 | 917,447
HOTUBA KAMILI YA RAIS MAGUFULI AKIWA TARIME - 07/09/2018 HOTUBA KAMILI YA RAIS MAGUFULI AKIWA TARIME - 0...
23:49 | 392,833
RAIS DKT. MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA KATIKA MARADI WA UJENZI WA MACHINJIO  VINGUNGUTI RAIS DKT. MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA K...
28:28 | 2,208,874
MAGUFULI AMKAANGA KIGOGO TAKUKURU MAGUFULI AMKAANGA KIGOGO TAKUKURU "MNAJIPENDEKE...
10:02 | 172,867
RAIS MAGUFULI AMEONA VIDEO YA BIBI AKILIA, RAIS MAGUFULI AMEONA VIDEO YA BIBI AKILIA, "IME...
13:48 | 231,757
Magufuli aamsha dude jingine bandarini Magufuli aamsha dude jingine bandarini
07:49 | 1,089,277

shopee ads